Mjini kuna mambo mambo Zari amdhihaki Hamisa

Ngoja tuone mwisho wake ni upi!!! Maana mtenda akitendwa huhisi kaonewa
 
Wananikimbusha lile farangati la wake za mzee Yusuf,ila wale bora maana Leyla alikuwa mkimya.Sasa hawa wake za Chibu wote wamekutana ngangari.Uke wenza mimi siuwezi.

Hamisa kaongeza na hii kumkera zaid zariii[emoji6] [emoji1] [emoji1]bibie mama watano kamuunfollow kaka etu fastaa
Ukewenza hapana kwa kweli haswaa mkiwa wote waswahilii watupu kama hawa hapa

Mmoja akichoma ubani,mwingine anachoma udiii!
 
Ndo tatizo lake yy anahis money is everything's while not anaumia mnoo anajipa tu moyo amrudie tu diamond maana atapagawa

Anahitaji psychological treatment haraka sana
Hakujuwa kuwa vi Ben ten visumbufu?
 
Hear say nasikia baba Dully-Latina mwenyewe anamkandya Zari, Amisa asingeleta ushabiki maandazi hata nyumba angenunuliwa.
Ndo tatizo la mobeto ila mi nahis km mondi yuko nyuma ya hamisa maana asingepata kibri hiki cha kujibu jus imagine siku zote mama d alikua kimya Leo kapata wapi guts za kujibu
Au alingoja azae kwanza ndo wapambanee manager Zari kamtukana sana hamisa
 
Ndo tatizo la mobeto ila mi nahis km mondi yuko nyuma ya hamisa maana asingepata kibri hiki cha kujibu jus imagine siku zote mama d alikua kimya Leo kapata wapi guts za kujibu
Au alingoja azae kwanza ndo wapambanee manager Zari kamtukana sana hamisa
Mama Dully ana support ya ukoo mzima wa Madale
 
Iwe isiwe inauma. Amezaa na partner wake.halafu paap una follow watoto Wa mwenzio. Huo ni uchokozi.angempa mwenzie muda mtu yoyote asingependa. Na inaonyesha hamissa ataenda na zari sambamba.mtoto amempa confidence
Mbona vitu vidogo au angemfata pembeni ila kumuambia kua anapewa laki mbili kaaaahhh!!hapana kwa kweli hit mi ningejibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…