Mwanza, Mbeya, Arusha, Dodoma na Tanga ni VIJIJI VIKUBWA
Nje ya Dsm ni ngumu kukuta jiji lenye mjumuiko wa vitu zaidi ya vitano vifuatavyo
Nje ya Dsm ni ngumu kukuta jiji lenye mjumuiko wa vitu zaidi ya vitano vifuatavyo
- Mji kuwa wazi walau hadi saa tano usiku
- Mzunguko wa pesa angalau 1/3 ya dsm
- Maghorofa zaidi ya 5 yaliyovuka ghorofa 10
- Uwanja wa ndege wenye Destinations za Kimataifa
- masoko makubwa
- International Schools at least 3 (sio za necta)
- Vyuo vya serikali zaidi ya 7
- timu za mpira zaidi ya moja
- uwanja wa mpira wa kisasa
- barabara za kisasa
- wasanii wa ngazi ya taifa wanaofanya kazi zao mkoani
- studio hata moja inayotoa hits ngazi ya taifa