Hata Dsm yenyewe nayo pia ni Kijiji kikubwa. Takribani asilimia 80 ya Ardhi yote ya Mkoa wa Dsm haijapimwa (unsurveyed land) na Wala haiko kwenye Mipango-miji, completely a 'Squatter or Slums Area'. Aidha, takribani 70% ya nyumba na majengo yote kabisa yaliyopo ndani ya Mkoa wa Dsm hayafikiki kwa barabara za uhakika au hayafikiki kabisa kwa Barabara, bali yanafikika kwa njia za vichochoroni tu.Nje ya Dsm ni ngumu kukuta jiji lenye mjumuiko wa vitu zaidi ya vitano vifuatavyo
- Mji kuwa wazi walau hadi saa tano usiku
- Maghorofa zaidi ya 5 yaliyovuka ghorofa 10
- masoko makubwa
- International Schools at least 3 (sio za necta)
- Vyuo vya serikali zaidi ya 7
- timu za mpira zaidi ya moja
- uwanja wa mpira wa kisasa
- barabara za kisasa
- wasanii wanaoishi majiji hayo wanasikika level ya nchi
Tandale,vingunguti,manzese,keko nk, Dodoma imepimwa ikapimika!Hata Dsm yenyewe nayo pia ni Kijiji kikubwa. Takribani asilimia 80 ya Ardhi yote ya Mkoa wa Dsm haijapimwa (unsurveyed land) na Wala haiko kwenye Mipango-miji, completely a 'Squatter Area'. Aidha, takribani 70% ya nyumba na majengo yote kabisa yaliyopo ndani ya Mkoa wa Dsm hayafikiki kwa barabara za uhakika au hayafikiki kabisa kwa Barabara, bali yanafikika kwa njia za vichochoroni tu.
Zaidi ya asilimia 70 ya wakazi wa dar wanaishi kwenye slams na wanamaisha magumu sanaMwanza, Mbeya, Arusha, Dodoma na Tanga ni VIJIJI VIKUBWA
Nje ya Dsm ni ngumu kukuta jiji lenye mjumuiko wa vitu zaidi ya vitano vifuatavyo
- Mji kuwa wazi walau hadi saa tano usiku
- Mzunguko wa pesa angalau 1/3 ya dsm
- Maghorofa zaidi ya 5 yaliyovuka ghorofa 10
- Uwanja wa ndege wenye Destinations za Kimataifa
- masoko makubwa
- International Schools at least 3 (sio za necta)
- Vyuo vya serikali zaidi ya 7
- timu za mpira zaidi ya moja
- uwanja wa mpira wa kisasa
- barabara za kisasa
- wasanii wa ngazi ya taifa wanaofanya kazi zao mkoani
- studio hata moja inayotoa hits ngazi ya taifa
Acha ushamba wewe, ukitaka ujue Dar ni takataka uwe unatua pale JNIA hadi aibu zile slum zimejazana. Kwahiyo wewe umeona wasanii na studio ndio jijiMwanza, Mbeya, Arusha, Dodoma na Tanga ni VIJIJI VIKUBWA
Nje ya Dsm ni ngumu kukuta jiji lenye mjumuiko wa vitu zaidi ya vitano vifuatavyo
- Mji kuwa wazi walau hadi saa tano usiku
- Mzunguko wa pesa angalau 1/3 ya dsm
- Maghorofa zaidi ya 5 yaliyovuka ghorofa 10
- Uwanja wa ndege wenye Destinations za Kimataifa
- masoko makubwa
- International Schools at least 3 (sio za necta)
- Vyuo vya serikali zaidi ya 7
- timu za mpira zaidi ya moja
- uwanja wa mpira wa kisasa
- barabara za kisasa
- wasanii wa ngazi ya taifa wanaofanya kazi zao mkoani
- studio hata moja inayotoa hits ngazi ya taifa
Arusha kwa taarifa Yako ndo inaongoza Tanzania nzima kuwa na International schools ikifuatiwa na DarInternational Schools at least 3 (sio za necta)