Mjomba ana-enjoy (video)

Mjomba is having it all 😂😂😂
Nimecheka sana.

Mnaoleta fikra mbaya acheni, mjomba kafurahi kupitiliza kajiachia.
Wimbo wenyewe una ujumbe tosha, acheni watu wafurahi.
Kundecha anasema "Mtu akijiweka ktk Mazingira ya kutiliwa Mashaka, basi asiwalaumu watu watakaomdhania vibaya" Huyu Mjomba huyu... ana kitu
 
Maisha ni pamoja na ku-enjoy. Hapa mjomba akifurahia Jambo.
Hawa viumbe wanazidi kuongezeka kwa kasi. Papa nae kasema wabarikiwe kanisani. Basi hukumu atafanya yeye Muumba wa Mbingu na Nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…