KikulachoChako JF-Expert Member Joined Jul 21, 2013 Posts 19,185 Reaction score 37,239 Feb 3, 2025 #41 Haina haja ya kuuma uma maneno na kuona haya.....viashiria vipo wazi kuwa MJOMBA ana mambo ya kiupinde upinde..... Hata uwe kwenye kilele cha furaha namna gani mwanamume huwezi kurembua rembua macho namna hiyo bhana........
Haina haja ya kuuma uma maneno na kuona haya.....viashiria vipo wazi kuwa MJOMBA ana mambo ya kiupinde upinde..... Hata uwe kwenye kilele cha furaha namna gani mwanamume huwezi kurembua rembua macho namna hiyo bhana........
KikulachoChako JF-Expert Member Joined Jul 21, 2013 Posts 19,185 Reaction score 37,239 Feb 3, 2025 #42 Slim5 said: mm dhana sijiepushi nayo kwa sbb Mjomba kataka mwenyewe kudhaniwa vby Click to expand... Hakika ndugu..... Mjomba mwenyewe kwa matendo yake anajitanabaisha kuwa yeye mtu wa aina gani..... Dhana mbaya au nzuri inajengwa na mazingira ya mhusika na sio mambo ya kufikirika.....
Slim5 said: mm dhana sijiepushi nayo kwa sbb Mjomba kataka mwenyewe kudhaniwa vby Click to expand... Hakika ndugu..... Mjomba mwenyewe kwa matendo yake anajitanabaisha kuwa yeye mtu wa aina gani..... Dhana mbaya au nzuri inajengwa na mazingira ya mhusika na sio mambo ya kufikirika.....