Bado Mjomba Gurumo hali yake si nzuri,Lakini kuna matumaini,ametoka ICU na amerudishwa Mwaisela No 1.Lakini bado anatumia mashine ya kupumulia,anaelewa na anazungumza kwa taabu.Hali yake kidogo imeimarika ukilinganisha na wiki iliyopita.Tuendelee kumuombea Mzee wetu Gurumo.