klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
Shantel!Nakushauri usimuulize huyo mjomba , maana mtafaruku utakaoibuka utakuwa mkubwa sana. mshukuru Mungu mkeo kakwambia kwa hiyo
hakuna baya lolote litakalotokea
Jamani kuna vitu vingine vigumu! Kama mjomba alijuta na kuomba msamaha kwa mkeo kwa nini mkeo amshtaki kwako?! Si anagombanisha ndugu?!
Na wewe mtongoze mkewe!!ngoma draw huku awana msaadawowote
Naombeni ushauri wadau,nilikuwa miangaikoni nje ya mkoa ninaoishi takribani miezi miwili,nikiwa safarini siku moja mjomba(mdogo wake mama yangu tumbo moja) alikwenda arusha kikazi na huko ndo nilipomwacha mke wangu,mjomba alikwenda kuisabai familia yangu mchana ilipofika usiku akaanza kumwandikia mke wangu sms za mapenzi akamtongoza na kumwaidi kuwa endapo atampa penzi angemwambia kitu cha muhimu kuhusu mimi,wife alimkatalia na kumwambia hawazi nisaliti coz ananipenda sana,kesho yake mjomba alirudi nyumbani kwangu akaendelea kumlazimisha wife amkubalie ila alikataa katakata na kumwambia amemchukia milele na nikirudi lazima amshitaki kwangu,mjomba alipoona karata yake imegonga mwamba akabadili mada na kusema alikuwa anamtega ajue msimamo wake kama nimwaminifu kwangu! Na kumsisitiza asinieleze na afute zile sms alizomtumia. Nimerudi arusha wife amenieleza story nzima na zile sms kanionyesha ila amenisii nisimfanye chochote uncle coz ndugu zangu watamuona mchonganishi. Hivyo wadau naombeni ushauri nifanyaje?
Mkeo yukoje? jiulize pia mjomba kawezaje mtongoza, maana tunalalamika tukitongozwa na sie wakati mwingine tunaalika mitongozo
usijenge bifu nakushauri unaweza mwambia tu mjomba najua ulichofanya ukamwacha anahangaika, ila usimnunie wala kumtenga mpaka ndugu wengine waingilie kati
<br />Mtongoze na wewe huyo mjomba wako bila kumuogopa tena mwambie unamzimia sana mgongo wake na kiuno chake! Mbembeleze kuwa hata suna tu, kiingie kichwa tu we utaridhika!!
<br />Kuna mzee mmoja wa makamo kidog aliwahi kunieleza wafuatayo; Mke akikueleza mambo ya kutokewa na mwanaume, be careful kwa sababu haina uhusiano wa moja kwa moja na uaminifu; kuna uwezekano mkubwa kuwa hakumpenda jamaa na kama ni mwaminifu sana basi akwambiye pia na wale ambao huwajui wamewahi kutoka na out au anawazimia but hajapata nafasi ya ku interact nao. Sjui kauli hii ina ukweli kiasi gani?????? Wana JF mwaweza nisaidia.
Mwe kwa hiyo huyu naye alikwenda mshitaki Mkwe kwa mumewe?!!!!.......kazi kweli kweli, kuna dada yeye alitongozwa na mkwe wake yaani baba ya mume wake.
Sokwe wa Town nimekuelewa ila nafikiri mii ni mmoja wa wanawake hao wanakuudhi! NISINGESEMA katu ila ungenisoma kwenye matendo au kama ange'endelea' kuni'omba' ndo ningempasulia mwenyewe nimpe maneno yake akashiba kisha aamue mwenyewe kunisemea kwako kama mkosa adabu ndo ningefunguka lakini nimemweleza mwenyewe kuwa sipendi, kaonekana kunielewa sasa naja shtaki ili iweje?? Unione mwaminifu kwako? je nakwelezaga hata hao wanaoni'finyia' mijicho yao huko barabarani??Kaka una mke wa maana sana! Katika mazingira mengi najua wanawake wengi wangekataa ila wasingewaambia waume zao, ( Hii tabia inaniudhi!) Kama mtu umekataa kweli kwanini usiseme? Eti utasikia 'niliogopa kuwagombanisha' Bull shit!...................