Mjomba!

Mjomba!

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,478
Reaction score
3,659
Mjomba kile kiitikio chako cha kunitumia vocha ulikiimba vizuri sana! ila zimepita siku nne tangu unipe ahadi yako. Mjomba kuuzunguka mbuyu si kazi, kazi kuukumbatia. mjomba kubeba gunia la misumari wakati una kipara huo ni ujinga, ni sawa na nazi kuvunja jiwe, au kutawaza kabla ya kujisaidia. kuendesha si kwenda haja kubwa,mjomba! wala kushuta si kupiga chafya. usifananishe suruali na msuli,mjomba. ah! natania tu, mjomba ila kweli ukipata buku nitumie vocha!
 
Back
Top Bottom