Mjue Bruce Marshall Mathers |||{Eminem}

"No love lost, no love found"
No love ft. Lil wyne

Anang'arisha sana collabo. Ku
na wimbo "what's the difference btn me and you" kashirikiana na nan sijui, bonge la hit
 
poleni mnaofikiri cleanin out my closet ni wimbo kama ule wa christian bella nani kama mama,ile ni diss song.
 
Nafarijika sana kuona kuna watu wanaujua na kuusikiliza muziki wa rap.
Hip hop ni maisha na Rap ni muziki tunaofanya.
.
Gifted Son💪
 
Walk on water Akiwa na Beyonce Moja ya songs zinazoniispire sana....

Pia hizi hapa nazikubali
Nowhere Fast Ft kehlani
Mocking bird
Bad husband
Not afraid
Monster ft Rihanna
 
I heard rihana alikuwa shocked sana baada ya kupigiwa simu na eminem kwa ajili ya collabo y love the way u lie
Mkuu naona unamwakilisha mwamba hapo kwenye Avatar Yako....
Jamaa kwenye london akiwa na young thug kaumiza sanaa
......Circumnavigate the globe as cash grow..Give a niga whack..... Naikubali sana hiyo ngoma kwa sababu yake..
 
Kuna we made yu namkubali sana.zingine alizosimama kiume Ni pamoja na encore,crack the bottle napenda Sana akishirikiana na mnyama 50cent
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…