pumzihaiuzwi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2015
- 3,273
- 3,083
Lakini alikuja kumuotea kajamaa kakazimiaYule kibonge alichezeshwa mara kapite dobo mara katokezee nyuma yake [emoji23] [emoji23] [emoji23]
halafu jamaa alikuwa handsome sana ndio maana totoz zilijigonga sana jamaa alizaliwa kipindi cha pasaka na akafa krismas big up sanaHahaha makando kando lazima mkuu hasa ukizingatia star kama yeye na anapenda totozi wengi nastar wa kiume wako hivyo sema tu wanajifocha
The Lion cage,Kuna ile clip alipoingia kwenye banda la simba wenye njaa ,duu huwa naifurahia xana
Charlie Chaplin na Rowan Atkinson(Mr Bean) hawa jamaa mpaka kesho nawaangalia nikitaka kucheka.
Umeruka ruka sana matukio ya muhimuAmechangia sana maendeleo ya movie kwa ujumla.
Pia inasemekana alikuwa ni predator, alipenda sana kulala na watoto yani vibinti vidogo ndivyo alikuwa anatembea navyo.
Mtiririko wa vichekesho vyake vya Circus ndivyo vilimpa umaarufu sana na kumpatia pesa nyingi.
Yeye ndiye alikuwa script writer
Music Composer
Director
Story writter
Editor
Mr Bean somehow vichekesho vyake vya kuonyesha kabisa haya ni maigizo, yani yanakuwa haya make sense sometimes kama kuendesha gari kakaa juu ya gari anatumia fimbo kwenye accelerator, hakuna kitu kama hiko mtu anaeza kufanya. Charlie Chaplin shwari sana