LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Anaitwa Dharmendra Mzimba.
Huyu lazima kazaliwa miaka ya 90 mwanzoni na baba ake alikuwa ana angalia sana picha za kihindi.
Kanikumbusha Niliwahi kusoma na jamaa yeye baba ake alikuwa anawaita watoto wake majina ya wasanii na watu maarufu. Alikuwa anawapa majina yote kamili kamili.
Kwa mfano huyo jamaa yeye alikuwa anaitwa Lucky Dube John.