Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,764
- 896
Mkuu, sifa zipi zina mfanya mtu awe Mtazaniakwahiyo wahindi siku hizi ni watanzania! Lol.Halafu huyo hapo chini jirani yako sijui muhindi mwenzie. Hebu kwanza nitafsirie alichoandika maana kidhungu not richabo.
Mkuu nadhani wewe ndo umesahau kwamba wao ndo wabaguzi wakubwa kwa watanzania weusi. Wengi wao (siyo wote) wanazo bado zile mentallity za during colonial era, za kujiona superior than black Tzs. Isingekuwa uvumilivu na upendo wa weusi, hali ingekuwa tofauti.Mkuu, nadhani siyo fair kumbagua mtu kwa sababu ya rangi ya ngozi yake, urefu wa pua yake, asili ya wazazi wake, au kitu kimgine chochote. Nadhani hii tabia ya kuangalia watu wa rangi au asili fulani kwa kudhani kwamba wote wa aina hiyo ni mafisadi haifai. Mbona tuna wahindi wengi tunaishi nao vizuri tu na wala siyo mafisadi? Anaweza kuwa ni raia tu mzuri wa nchi hii, na hajaifanyia ubaya wowote nchi hii, lakini wewe unambagua kwa kumtazama usoni tu! That's not fair.
Mtanzania kuwa pale siyo issue, swala ni anajivunia huo Utanzania? Na katika akili yake, huwa anakumbuka kuwa yeye ni Mtanzania? Labda mleta uzi angesema ni mambo mangapi kaifanyia Tz hapo google wakati mwenyewe hakumbuki kabisa kama aliwahi zaliwa Tanzania, zaidi ya kujiona Mtanzania.
umeongea kweli mkuu imenigusaJina kama asili ya mgoa. Wabongo bana, watu wasio wabantu tunawabagua/wanatubagua nchini.....wahindi wanaambiwa warudi kwao, kina Rostam warudi sijui Iran, Richa Adhia yule miss Tanzania alipondwa.....ila huyu kafanikiwa Google, basi ni Mtanzania. Kaaaaazi kweli kweli!
sema mkuu ni kweli lkn....heb niambie mkuu kwann unajiita next millionare?yawezekana alizaliwa tzed lakin ameshaisahau au ajitambulishi nayo tena, jana nilikuwa najaribu ku-activate google adds a/c, ilikataa, sababu lugha ya kiswahili haitambuliki, lakin kuweka adds bila a/c activation its ok to them, blog inatumia lugha zote mbili, angekuwa mbongo anayejivunia nao au lugha hii angeshafanya jambo flan, naamini hivyo.
kuzaliwa tz (wazazi wako wawe ni watz) au kuomba uraia. Kama kuna zingine sizijui.Mkuu, sifa zipi zina mfanya mtu awe Mtazania
nimekusoma mkuu, I should now change to Next Billionaire or Trilli..., hiyo iko poa, cio?sema mkuu ni kweli lkn....heb niambie mkuu kwann unajiita next millionare?
Kwa nini aufikirie Utanzania wake wakati Watanzania wameshembagua sana na kumtaka 'arudi kwao' !
Mmhh...chukulia mtu aliyeanza kazi ya kubeba maboksi Walmart na baada ya miaka 30 of blood, sweat, and tears (pamoja na top-notch grades and accolades from "Walmart University" and whatnot) tuseme kabahatika kuwa Store Manager kwenye Walmart Superstore fulani somewhere, jee ana chance gani ya ku-influence overall corporate policies za Walmart kuhusu msimamo wa Walmart Corp kuhusu Tanzania?
Kweli not richabo. Hujawaona wahindi popote Tanzania? Unafikiri wote wametoka India jana? Wakati mwingine ni afadhali kunyamamza kuliko kuonyesha umbumbu wako tena kwa kujisifu.kwahiyo wahindi siku hizi ni watanzania! Lol.Halafu huyo hapo chini jirani yako sijui muhindi mwenzie. Hebu kwanza nitafsirie alichoandika maana kidhungu not richabo.
jina kama asili ya mgoa. Wabongo bana, watu wasio wabantu tunawabagua/wanatubagua nchini.....wahindi wanaambiwa warudi kwao, kina rostam warudi sijui iran, richa adhia yule miss tanzania alipondwa.....ila huyu kafanikiwa google, basi ni mtanzania. Kaaaaazi kweli kweli!
Wewe unafanyakazi immigration nini, kitengo cha passport.Hivi kweli dunia ya leo kuna mtanzania asiye wajua watanzania? Jamani tuwe makini kweli huyo ni mtanzania au na wewe muandika thread hii unafanana na mtanzania huyu unayesema ni mtanzania, acha kututania kabisa, heshima iwe mbele utani nyuma.
umemsahau Jetul PatelWhat about Prof. Issa shivji, Aamir Jamal, mzee Sabodo, Kassim Dewji, Manji, Shamim Khan, Dereck Bryson, Salim Ahmed Salim, Hussein Bashe, Rostam, Kinana, Rage, Prof. Mascarenas, SS Bakhressa, Zungu etc. je hawa nao ni watanzania ama sio watanzania? Acheni ubaguzi