Mbona wako wengi tuu ila tatizo wengi wao wakifikiria zole politics za kuchafuana,corruptions,migawo etc at the same time wamehakikishiwa security zao na good life kwa familia zao basi uzalendo wote unahamia states...kuna wabongo kibao IBM,Wall street with PHds etc wanapiga mzigo bila matatizo