Mjue Ghost/Vanishing hitchhiker

Ina mb ngapi hio movies hawa twigo watatuumiza
 
mmh inaogopesha.. ila nadhan kuna elements za mental disorder kwa huyo dereva. yaan hata hakumpa mtu lift.
 
mmh inaogopesha.. ila nadhan kuna elements za mental disorder kwa huyo dereva. yaan hata hakumpa mtu lift.
kama udhani ivyo, jiulize Na ile scarf kaipata wapi sasa?
 
Daaaaah..kiukweli tunaishi na vitu hivi lakini ni ukweli uliowaz kwa wale waliopata kukutana na vitu hivi...daaaah...imeniganya nikumbuke mbali snaa...
 
Daaaaah..kiukweli tunaishi na vitu hivi lakini ni ukweli uliowaz kwa wale waliopata kukutana na vitu hivi...daaaah...imeniganya nikumbuke mbali snaa...
Ndugu, naomba ushirikishe ulichokipata wengine tujifunze mawili matatu ilikuwaje kwa upa de wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…