Mjue Innocent Balume a.k.a Innos’B

Umesahau kabla hajafanya kolabo na mond wimbo wake og ulikua haijafika views milion 1
 
Hahahaaaa eti Diamond alitaka kutembelea jina la Innos'b... Wakati YOPE Remix inatoka original song ilikuwa stacked kwenye 2 million views. Kwa taarifa yako remix imeibeba original song.
Orijino ilikuwa ina views chini ya milioni 1 ndani mwezi mmoja. Remix ilivyotoka ndio watu wakaanza kuitafuta orijino mimi nikiwa mmoja wapo, sasa hivi si haba ndio inaongoza kwenye videos alizoweka kwenye YouTube yake.
 
Wanamtafuna na katafunwa sana marekani ukumbuke alikua na akina Akon, muulizeni mayunga wa Tanzania aliombwa ndogo marekani akachomoa na kukimbia jumla


Unataka kuniambia Akon anawatafuna wenzie?
 
Kwa kiasi flan Dimond ni kama amefanikiwa kwani kwenye youtube wimbo original wa Innos’B yaani Po-Ye una views takribani Milioni 5.7 wakati ule walioimba pamoja na Diamond una views takribani Milioni 14.
Kwahiyo ndo unataka kusema ni Diamond ndie kasafiria nyota ya mwenzake, au?! Hivi leo hii ukiitisha kura hata hapa JF watu waliokuwa wanamfahamu Innos'B kabla ya collabo na Diamond; wangapi walikuwa wanamjua?! Btw, original track ya Innos ilipitwa Views within 24 hoursm na re-mix, how come tena uone Diamond ndo katembelea nyota ya Innos'?!

Ukweli ni kwamba, kama si ile collabo, original track ambayo ilitoka mwezi mmoja kabla, hadi sasa ingekuwa haijafika hata 3M let alone 6M! Ni watazamaji wa Remix ndio hao hao tena wakawa wanaenda kuicheki original track!
 
Kwa uandishi huo we endelea kusikiliza Po-ye huku kwetu si tunasikiliza Yope remix.
 
Una Chuki ya wazi kwa Diamond, angalia ukizeeka utakua mchawi!
 
Yaan nikimuona innos b tu huwa nacheka vile alivyo hasa ki body chake kile[emoji23][emoji23][emoji23]
 
😂😂😂😂😂😂Uzi wa kumfahamu InnosB umekuwa wa kuchunguza sura,upakaji wa lotions,matumizi ya mekako na jaribu hadi faragha zao.Mtanzania mpe picha au kichwa cha habari tu mengine utacheka kwa uchambuzi "makini"!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…