Mjue James Hardley Chase, Mwandishi maarufu wa Vitabu vya Riwaya

Bujibuji Simba Nyamaume Chase aliandika sana kuhusu uhalifu Marekani na kutaja Precinct za polisi cha kushangaza hakuwahi kuishi Marekani
Nimesoma vitabu vyake 49😁
 
Kama wewe umeacha kusoma, wengi bado wanasoma.

Tunao waandishi wengi wanaandika riwaya, na mashairi tunawasoma. Na humu wamo wengi tu ukienda kule entertainment utakutana na hadithi tamu for free
 
Hatari na nusu!Ila waandishi wengi wamekufa masikini.Nimeandika Riwaya na Hadithi fupi lakini kamwe Kwa Hali ilivyo Sasa Si Riwaya Pendwa au Dhati itakayokutoa.Vitabu vinavyolipa ni vya Dini hasa ukiwa na uhakika wa Waumini kununua na vya Ujasiriamali Hapo uwe na Semina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…