Mjue Jimmy Wanjigi: Jambazi Ambaye ni Mwendani Wa Raila na Financier Wa NASA

Wakenya mnapenda ujinga sana,yaani anyone close to Rails,analink naMagufuli,mnasubiri muanze kuchinjana mseme Magufuli kasababisha,kufeñi wenyewe,[HASHTAG]#leave[/HASHTAG] Magu alone.
 
Nasikia hata jimmy wa Jet rumo nae ni mtu wa chuma haya majina kumbe ni watu hatari
 
Wakenya mnapenda ujinga sana,yaani anyone close to Rails,analink naMagufuli,mnasubiri muanze kuchinjana mseme Magufuli kasababisha,kufeñi wenyewe,[HASHTAG]#leave[/HASHTAG] Magu alone.
Hahahaeducation is the key but no door to open it with
 
wacha u....fa....la wa kumtaja taja Magufuli, komaeni na siasa zenu za dini na matabaka...sijui kenya mtajikomboa lini
Kama hauja watch series yaitwa house of cards kaitafute uelewe kilicho andikwa hapo! Bueruecracy is democracy darker sides...vitu kama hizi zipo adi marekani! Check out the previous year election where trump won! Check your facts understand and learn.
 
Jimi Wanjigi mshikaji wangu pos sana. NASA we are 10 million strong natuko na mbinu makini sana. Nurse wamegoma wamefuata wakufunzi wa vyuo. Subulimje muone week moja kabla yauchaguzi kitachotokea. Uhuruto watapoteana kabisa. Tupo nakijana makini adui number moja wa Uhuru [HASHTAG]#001[/HASHTAG] governor Joho. Tulieni muone mchezo
 
Huyu Ni Mafia nashangaa kuona Raila Odinga anasema atafuta Ufisadi wakati anamkubatia huyu jamaa
 
This guy has a 22 bedroom maisonette, sophisticated weapons, huyu jamaa sio straight.
 

Uzushi huu CCM waweke tallying centre ya nini wakati walikuwa madarakani teyari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…