Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Hivi we mzee umeandika kitu gani? Au ni mimi ndio nazeeka vibaya? Mabeberu kwani bado wapo?Jina Kissendi Nyanda Ntalima Mpandagoya au Mkushi sio jina maarufu kama walivyo wanasiasa, wanamichezo na wasanii.
Kissendi Nyanda Ntalima Mpandagoya a.k.a Mkushi, yeye ndio muasisi wa makundi zogozi yanayojulikana kwa jina la Waafrika Tujitambue, ambapo amekuwa akifundisha mambo mbalimbali juu ya historia ya mtu mweusi, namna alivyokuwa kinara wa Mapinduzi ya ustaarabu na teknolojia duniani.
Lakini kutokana na husda na fitna za husda za NYAHUNI au mtu mweupe, akautweza utu wa mtu mweusi na kumsahaulisha kabisa asili yake kwa kutumia dini za Ukristo na Uislam.
NYAHUNI waliwakata mikono watu wote waliotokea kwenye koo za wahunzi.
Hizi harakati zina nia njema sana, lakini sidhani kama zitawafurahisha mabeberu
Neno ustaarabu lina mzizi wa kwenda kiarabu.Jina Kissendi Nyanda Ntalima Mpandagoya au Mkushi sio jina maarufu kama walivyo wanasiasa, wanamichezo na wasanii.
Kissendi Nyanda Ntalima Mpandagoya a.k.a Mkushi, yeye ndio muasisi wa makundi zogozi yanayojulikana kwa jina la Waafrika Tujitambue, ambapo amekuwa akifundisha mambo mbalimbali juu ya historia ya mtu mweusi, namna alivyokuwa kinara wa Mapinduzi ya ustaarabu na teknolojia duniani.
Lakini kutokana na husda na fitna za husda za NYAHUNI au mtu mweupe, akautweza utu wa mtu mweusi na kumsahaulisha kabisa asili yake kwa kutumia dini za Ukristo na Uislam.
NYAHUNI waliwakata mikono watu wote waliotokea kwenye koo za wahunzi.
Hizi harakati zina nia njema sana, lakini sidhani kama zitawafurahisha mabeberu
Eti ni kweli wewe ni shemasi?Neno ustaarabu lina mzizi wa kwenda kiarabu.
Linatueleza kwamba Waarabu ndio walioleta "civilization" Afrika.
Hivyo, katika habari inayotaka kunasibisha Uafrika na "civilization", kutumia neno "ustaarabu" kwa sisi tunaoangalia mizizi ya maneno ni kusema kinyume, ni kuonesha Waafrika hawana "civilization" bila kupitia uarabu.
Kimsingi maana ya asili ya ustaarabu ni uarabu.
Sasa ukimsifia muafrika na civiliztion yake, kwa kusema alikuwa kinara wa mapinduzi ya uarabu, hapo hujamsifia, umemkejeli.
😲Hivi we mzee umeandika kitu gani? Au ni mimi ndio nazeeka vibaya? Mabeberu kwani bado wapo?
Mkuu , kwani neno linaloeleza ''civilization au Ustaraabu' kwa lugha zetu ni lipi? Lugha yoyote tu tunayoijuaNeno ustaarabu lina mzizi wa kwenda kiarabu.
Linatueleza kwamba Waarabu ndio walioleta "civilization" Afrika.
Hivyo, katika habari inayotaka kunasibisha Uafrika na "civilization", kutumia neno "ustaarabu" kwa sisi tunaoangalia mizizi ya maneno ni kusema kinyume, ni kuonesha Waafrika hawana "civilization" bila kupitia uarabu.
Kimsingi maana ya asili ya ustaarabu ni uarabu.
Sasa ukimsifia muafrika na civiliztion yake, kwa kusema alikuwa kinara wa mapinduzi ya uarabu, hapo hujamsifia, umemkejeli.
Mkuu mimi lugha ya Kiafrika ninayoimudu ni Kiswahili, na Kiswahili ndiyo kishatuvuruga hivyo.Mkuu , kwani neno linaloeleza ''civilization au Ustaraabu' kwa lugha zetu ni lipi? Lugha yoyote tu tunayoijua
Mkuu tulipokubali Kiswahili kiwe 'lingua franca' katika Taifa letu tulikubali mengi ikiwemo ku-borrow maneno.Mkuu mimi lugha ya Kiafrika ninayoimudu ni Kiswahili, na Kiswahili ndiyo kishatuvuruga hivyo.
Sawa.Mkuu tulipokubali Kiswahili kiwe 'lingua franca' katika Taifa letu tulikubali mengi ikiwemo ku-borrow maneno.
Kiswahili kina maneno ya kiingereza, Kijerumani na sehemu kubwa sana Kiarabu .
Na kwavile hakuna neno lolote katika lugha yetu linaloeleza '' ustaarabu au Civilization'' tukubali kutumia neno hilo kwa maana ya mawasiliano na si kubeba uarabu au kiingereza.
Hata majirani zetu wa EAC ambako Kiswahili kimeenea na kuonekana kuwaunganisha zaidi mfano DRC bado watatumia neno 'ustraabu' kwasababu ndio neno lililopo, vinginevyo watatumia kifaransa.
Hakutakuwepo na tofauti ya kiingereza, kifaransa na kiarabu. Huo ndio msingi wa kukuuliza neno mbadala
You are forever aliveJina Kissendi Nyanda Ntalima Mpandagoya au Mkushi sio jina maarufu kama walivyo wanasiasa, wanamichezo na wasanii.
Kissendi Nyanda Ntalima Mpandagoya a.k.a Mkushi, yeye ndio muasisi wa makundi zogozi yanayojulikana kwa jina la Waafrika Tujitambue, ambapo amekuwa akifundisha mambo mbalimbali juu ya historia ya mtu mweusi, namna alivyokuwa kinara wa Mapinduzi ya ustaarabu na teknolojia duniani.
Lakini kutokana na husda na fitna za husda za NYAHUNI au mtu mweupe, akautweza utu wa mtu mweusi na kumsahaulisha kabisa asili yake kwa kutumia dini za Ukristo na Uislam.
NYAHUNI waliwakata mikono watu wote waliotokea kwenye koo za wahunzi.
Hizi harakati zina nia njema sana, lakini sidhani kama zitawafurahisha mabeberu
Hivi we mzee umeandika kitu gani? Au ni mimi ndio nazeeka vibaya? Mabeberu kwani bado wapo?
HahabhahahHuyo mtemi itakuwa anasubiria kupanda hizo u shape buildings kwa kutumia ungo. Mashikolo mageni
Tumia ustaafrika au kuelevuka. Umenikumbusha bwana uvuvwevwevwe onyetenyevwe ugwemubwem ossas toka Nigeria na Andrianampoinimerinatompokoindrindra toka Madagascar.Neno ustaarabu lina mzizi wa kwenda kiarabu.