ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Haya jipigie makofi kwa kuleta story ya kuku asie na kichwa
Mnamo Septemba 10, 1945, mkulima Lloyd Olsen wa Fruita, Colorado, Marekani, alikuwa akipanga kula chakula cha jioni pamoja na mama-mkwe wake na akatumwa nje na mke wake kwenda uani ili amletee kuku. Olsen alichagua kuku wa Wyandotte mwenye umri wa miezi mitano na nusu anayeitwa Mike. Shoka liliondoa sehemu kubwa ya kichwa, lakini lilikosa mshipa wa shingo, na kuacha sikio moja na sehemu kubwa ya shina la ubongo likiwa sawa.Alikuwa anakulaje ili aendelee kuishi wakati hakuwa na mdomo wa kulia chakula?
Mwenye kuku alianza kumlishaAlikua anakulaje