Mjue kuna vitu vinashangaza sana

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Yaani mpka asa sijaelewa.
1:. Mwanaume unaogea sabuni inaitwa RUNGU. Halafu unaipitisha makalioni ili iweje ?

2: Mwanaume unapaka makalioni ili ugundue ninj? Umuoneshe nani?

3: Unanawa mikono halafu unakula na kijiko ulinawa ili iweje?

4: Mtoto wa watu anakwmbia ana mimba yako unamuuliza imeingiaje
Una akili kweli mbwa wewe?

5: Unapenga makamasi na kitambaa halafu unakirudishia mfukoni
Wewe nenda mirembe tu.

6: Unapiga mswaki bafuni halafu unaenda kusukutua mdomo bomba la nje
Wewe ni zuchu

7: Unajamba halafuu unanusa ili iweje?

8: Mwanaume unaoga halafu unajifuta na taulo .

Jitikise kama mbwa hadi ukauke acha uzuchu
 
Sitaacha kukazia maneno ya mbasha kwenye thread za kibangebange."unajua we mleta mada bangi sana" mwisho wa kukakazia
 
Dah....polisi anampiga risasi jambazi....Daktari anahangaika kwa gharama kubwa kuokoa uhai wake....anapona...anaenda mahakamani....Jaji anamuhukumu adhabu ya kifo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…