Mjue Luteni Zachariah Hans Pope wa JWTZ

Wivu huu
 
Daah
 
Nimefahamu kitu kimoja, Mabere Marando, mwanasiasa na mwanasheria nguli ni afisa wa usalama wa Taifa. (Otherwise niwe nimechanganya majina na watu)

Maana yake tuna wana siasa wapinzani wengi ambao ni kitengo na wamewekwa mahsus ili kulinda maslahi ya chama tawala. Sitashangaa siku itakapo elezwa kuwa Mbowe, Mtatiro, ZZk ni miongoni mwao.


Kwa hali hii, ccm bado ipo saaana
 
Ninataka kuamini kuhusu Mabere Nyaucho Marando! Niishie hapa
 
Acha uongo hakuwa mkuu wa mkoa
 
Naona jiwe anaendeleza uhasama wa kihistoria...... Anyway tusubiri tuone, huenda ikatokea bahati.
 
Kila mtu anajifanya anajua

Ila hakuna wa kuandika kitu sahihi

Huyu kamkosoa yule na kumuita popoma ila hajamsahihisha

Mara huyu kasema hapana hakuwa mkuu wa mkoa ila ajasema alikuwa nani

Ilimradi fujo tu
 
Mtoa mada jaribu tena kupitia vyanzo vyako ili mada yako ijitosheleze maana imeacha sintofahamu badala ya kuiondoa.
 
Afadhali hao walitest mitambo tulio nao kwa sasa hata kupiga chafya tu ni shida.Pamoja na mauaji yote haya kimya wamejifunika blanket
Mijeshi ya sasa hvi misukule tu, inajiua kwa ajili ya mapenzi, alafu utegemee walifanyie kitu taifa!.
 

Mzee Mabere Marando hakuwahi kuwa mwanajeshi hivyo kumpa cheo cha ukomandoo ni uongo na upotoshaji.

Halafu, hii hadithi wewe na mwenzio Yerikho Nyerere hamjaiweka uzuri ni bora mkakaa kimya kama hamfahamu.

Hii kesi ya uhaini naamini weye na Yerikho Nyerere hamuifahamu kwa uzuri, hivyo rudi na hadithi kamili.
 
Sema sasa tulio lilifanyika wapi na nani aliepewa hio bunduki ni undezi kukanusha kitu bila kusema kile kilichofanyika
bora yeye katupa kwa kupindisha lakini cha ajabu wewe mbona haujaweka hiyo historia iliyonyoooka?

Watundiga bana mnashida sana, una maana link niliyowapeni baada ya comment yangu ni kwamba hamkuiona au kwenu siku haipiti bila ya kutoa comments za aina hizi?
 
Kila mtu anajifanya anajua

Ila hakuna wa kuandika kitu sahihi

Huyu kamkosoa yule na kumuita popoma ila hajamsahihisha

Mara huyu kasema hapana hakuwa mkuu wa mkoa ila ajasema alikuwa nani

Ilimradi fujo tu
ngoja nisaidie babake Hans Pope alikuwa RPC miaka hiyo kagera ikiitwa west lake.naona wengi ni wapya hapa duniani.ila na sikia Hans eti kapitia holili anaelekea huko juu?
 
Hadithi yako ina punje punje za ukweli lakini vile vile ina mengi ya kufikirika; wengine umewakosea hata majina yao; kwa mfano Badru Kajaja.

Pius Rugakingira (Uncle Tom) hakuwa luteni wa jeshi, bali alikuwa mwalimu wa chemistry kabla. Baada ya kuhamia Uingereza na kuwa mfanya biashara mzuri sana wa gundi ndipo alipofadhili mapinduzi hayo. Huyu Zakaria baba yake alikuwa mkuu wa polisi wa mkoa wa Kagera; aliuawa na majeshi ya Amini na kuzikwa kinyemela lakini serikali ya Nyerere iliamua kufukua mwili wake kutoka huko mbali na kwenda kuuzika kwa heshima za kitaifa nyumbani kwao huko Iringa.

Mabere Marando alihusika katika kuwakama waharifu hao pale Kinondoni akiwa ofisa usalama wa taifa, na mmoja wa hilo grupu aliwawa, nadhani akiitwa Tamimu. HMarando hajawahikuwa manajeshi komandoo kama unavyodai. Halafu siyo kweli kuwa walipelekwa Ikulu bali walipelekwa Keko moja kwa moja; kipindio hicho Ikulu ilikuwa inahangaika na vita ya uhujumu uchumi tu.
 
Huyu jamaa kumbe mafia leo pale taifa mechi simba na as vital katoka zake nje, then kajichanganya na wahuni wamemzonga wala haofii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…