Makosa ya kimatibabu yaligharimu uhai wake
Mwaka 2005 Stella Obasanjo mke obasanjo (aliyekuwa rais wa nigeria) akiwa anakaribia kusherekea birthday yake ya kutimiza miaka 60.. aliamua kusafiri hadi Malaga, Spain kwenda kufanyiwa operesheni ya mabilioni ya kuvuta mafuta chini ya tumbo (liposuction) kupunguza kitambi/kitambi ili aonekane mrembo/kipotabo /bintibinti siku ya birthday yake kutimiza 60yrs
Alionana na Dr M.A na ama kawaida alikuwa admitted, Daktari huyu alikuwa bingwa aliyesifika kwa cosmetic surgery ulaya yote na hii ilikuwa operesheni yake ya 135..
bahati mbaya wakati anafanya kile kifaa cha kuvutia mafuta kiliingia deep kikatoboa ini... baada ya op Dr akakabidhi kwa manesi
Damu zinaendelea kutoka ndani kwa ndani.. manesi wanapima BP haipandi inazidi kushuka mara ainingia kwenye shock (si kawaida maana huwa ni operesheni ndogo tu)
Wanampigia simu Daktari... daktari akawaeleza hana shida huyo atakaa vizuri, mara nyingine hakupokea simu za wauguzi
Mama Stella Obasanjo akakata moto... ilikuwa ni mshituko kwa taifa la Nigeria..maana hata hivyo aliondoka nchini kimya kimya na hakuwa anaumwa.. ni msiba uliotikisa dunia.. na ni mfano mzuri wa medical misconduct iitwayo NEGLIGENCY /KUPUUZA/KUPUUZIA
Daktari bingwa yule alifungwa jela mwaka 1, akafungiwa kutibu miaka mitatu na faini ya EURO £ 120,000 Sawa na 300,000,000 kwa pesa za madafu za kitanzania
View attachment 1927018