Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 612
- 1,698
Amegundua TV isiyotumia umeme wa kawaida au solar. Amegundua Generator isiyotumia mafuta. Amegundua Helicopters na Magari ya umeme usio wa kawaida.
Alianza kufanya majaribio ya kisayansi tangu mwaka 1997 ambapo alifanikiwa kuunda vifaa kama transmitter na vifaa vingine ambavyo alivipeleka kamatika mamlaka za kesho na usafiri wa anga.
Mwaka 2003 alipata wazo lankuunda generator isiyo tumia mafuta wala solar( self powered generator). Aliwashirikisha wazo lake hilo jopo la maprofesa ambao walimwambia kuwa hakuna uwezekano wa kuunda mashine kama hiyo.
Alianza kufanyia kazi wazo lake huku akitumia pesa kiduchu alizopata kama mshahara wa akzi yake ya dereva wa gari za mizigo.
Mwaka 2009 alipata mualiko toka serika ya Lethoto kwenda Kuonesha teknolojia yake na kutakiwa kushirikiana nao Kwa dau la Dola Milioni 1.5 na akaikataa mpaka pale alipoingia unia na Mkurugenzi wa Econet. Hivyo alipata pesa za kuendeleza tafiti zake na kufanikiwa kuzalisha umeme Kilowatt 50.
Mafanikio hayo yalivuya watu mbalimbali na vyombo vya habari Toka Kila Kona. Walimwite Nicola Tesla wa Africa. Alianza kupata mikataba ya ubia na makampuni ya ulaya amabyo alikataa kuuza haki ya ugunduzi wake.
Wazungu alimiminika kuja kuangalia ugunduzi huo lakini Bado hawakuelewa.
Hii ni teknolojia mpya Duniani ambayo umeme unazalisha Kwa njia ya mawimbi ya sauti za angani.
Serikali ya Zimbabwe haikumoa msaada mapaka pale Ambapo Serikali ya Marekani walipo mchukua na kumpa pesa ya kuendeleza egunduzi wake.
Mpaka Sasa tayari anaishi California ambalo anafanyia ugunduzi wake