Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Umeuliza maswali mangapi? umeelewa crusade war au nayo haikuandikwa?Hiyo link yako haina mahali imeandika
: Kwamba uislamu ulianzishwa na wakatoliki
Professor , Mimi sijasema uislamu ulianzishwa na wakatoliki ni wewe ndiye uliyesema , na ulipoombwa ushahidi ukatuletea link ya crusadeUmeuliza maswali mangapi? umeelewa crusade war au nayo haikuandikwa?
Mengine ingia mwenyewe Quora ukaongeze maarifa usijifungie ndani ya box.
Siwezi kulazimisha uwe na akili kama huna.
Swali la kwanza crusade war ilikuwepo au haikuwepo?
OkHuyu ndiye kaiweka Biblia kama ilivyo katika Council of Nicea 325 AD.
πͺππ