Mjue mkuu wa upelelezi wa zamani(Patrick Karegeya) na nani nyuma ya kifo chake?

Thinker96

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2011
Posts
321
Reaction score
81
Huyu bwana amaleta utata kama ule wa kifo cha Jaji Juan Mwaikusa, hii ni historia yake kwa ufupi toka Wikipedia ingawa haikuwa na tafsiri kwa Kiswahili naiwasilisha na:-
Patrick Karegeya

Talk

Patrick Karegeya (1960 – 2014) was a head of intelligence in Rwanda. After being twice thrown in jail over alleged indiscipline, desertion and insubordination, he was stripped of his rank of Colonel in 2006 and went into exile in 2007.[1]

Karegeya was born in Mbarara in southwestern Uganda. He attended Makerere University where he earned a Bachelor of Law degree. He joined the National Resistance Army in Uganda but was arrested in June 1982 and charged with treason, spending three years in jail. Later he joined President Yoweri Museveni in the struggle that led to the overthrow of Milton Obote. He was a lieutenant in Ugandan military intelligence when the decision to invade Rwanda was made, at a time when his friend Paul Kagame was studying in the USA.[1]

From 1994 to 2004 Karegeya was Director General, External Intelligence in the Rwandan Defence Forces.[1] As chief of intelligence in Rwanda he had great power. Karegeya was arrested and served an 18-month sentence for desertion and insubordination.[2] He was stripped of his rank of Colonel on 13 July 2006 by a military tribunal and fled the country in 2007.[1] Later, Kagame claimed that he was in the pay of South African military intelligence.[3]

In August 2010 Karegeya told the Ugandan paper The Observer that Kagame was a dictator who would not leave power unless he was forced out by war.[4] The same month he told the BBC that Kagame had ordered a series of political killings.[5]

On 1 January 2014, Karegeya was found dead at the Michelangelo Towers, an upmarket hotel in the Johannesburg suburb of Sandton in South Africa. Reports indicate he had gone to attend a meeting at the hotel when he was murdered.[6] The circumstances leading to his death remain unknown. The South African police are conducting investigations although the Rwandan opposition party, the Rwanda National Congress (RNC) said in a statement to AFP that “He was strangled by agents of (Rwandan President Paul) Kagame,” having previously survived several assassination attempts. Karegeya leaves behind his wife Leah and three children.

It was reported in the South African press that Karegeya had agreed to dispense with his South African security detail in 2012. The South African government had provided the protection since Karegeya’s arrival in South Africa in 2007.[7]

Persondata
Name Karegeya, Patrick
Alternative names
Short description Head of Intelligence in Rwanda
Date of birth
Place of birth
Date of death
Place of death

Read in another language
This page is available in 1 language

Français
Last modified on 4 January 2014, at 13:43
 
Yes! It's kagame who played that role,and nobody else but him,kagame and museveni are the worst tyrants in african history which will not leave power by casting ballots,but only by a bloody coup,let's wait for this.
 
anyway ngoja niwape dondoo kidogo juu ya nani alitekeleza mauaji ya huyu bwana:..

Apollo gafaranga ndiye aliyetekeleza mauaji ya patrick karegeya huko jo'burg..huyu apollo ni mmoja wa wafanya biashara wakubwa hapo rwanda akiwa na sophisticated thietre maeneo ya nyamirambo ambapo sasa ni maarufu kwa jina la cine star cinema ...ujenzi wa kituo hicho uligharim dola million moja na siku ya ufunguzi mwaka 2009 aliyefungua ni bwana paul kagame mwenyewe

nyuma ya paziwa bwana apollo gafaranga alikuwa trained spy na pia assassin wa hali ya juu sana na wakati huyu patrick karegeya akiwa masterspy miaka hiyo huyu gafaranga alikuwa ni mmoja wa ma infomer wake.

baada ya patrick karegeya kukimbia na kwenda kuishi uhamishoni nchini A.kusin, kule rwanda kuna kikundi kilichoundwa na bwana kagame kijulikanacho kama ''escadron de la mort'' huyu apollo gafaranga laikuwa ni mmoja wa wana kikundi hao ambapo lengo kubwa la kikundi hiki ni kutafuta wale wote walio kinyume na utawala wa rwanda na kuwamaliza.

baada ya kuingizwa katika kikundi hiki bwanda gafaranga alipewa mafunzo ya hali ya juu ya namna ya kutekelekza mauaji bila kujulikana na target yake kuwa ilikuwa ni huyu karegeya....

baada ya mafunzo kukamilika na biashara hiyo kuwa imefunguliwa kama ''cover story'' machoni pa macho ya watu wa kawaida. mwaka 2010 bwana gafaranga alianza urafiki na bwana karegeya huku akijifanya kuwa ni mmoja wa watu waliokuwa wakiupinga utawala wa kagame nchini rwanda. gafaranga alianza kumtembelea karegeya huko south africa na pia alishiriki kwa kikamilifu katika mikutano ya RNC ,chama ambacho mpaka leo kinapanga kuuangusha utawala wa kagame huko rwanda.

mara zote aliposafiri kwenda A.kusini kwa bwana karegeya huyu gafaranga alikuwa hatokei moja kwa moja nchini rwanda na pia mara zote amekuwa akitumia passport na document fake kwenda huko africa ya kusini. mwaka 2012 december ni huyu huyu bwana gafaranga alimshauri karegeya kuacha kutumia walinzi aliokuwa amepewa na serikali ya africa ya kusini chini ya wamvuli kuwa wanaweza kununulika na akauawa...na hivyo bwana karegeya alikubaliana na ushauri huo nakwenda katika mamlaka za SA na kutoa ombi lake hilo akisema sasa yuko makini na kila safari anayofanya ndani ya nchi hiyo na hivyo haitaji walinzi...mamlaka ya SA iliwaondoa walinzi.

mwezi wa wa nane mwaka jana bwana apollo gafaranga alimpigia simu karegeya na kumwambia kuwa serikali ya rwanda inamtishia uhai wake na tayati imefunga biashara zake hivyo anamuomba patrick karegeya amtengenezee mazingira ili nae akimbilie huko africka ya kusini na kuanza biashara huko...mda wote huo karegeya hakujua kuwa huyu bwana ana mission nyingine kabisa toka mwanzo wa urafiki wao

karegeya alianza maandalizi ya kumuandalia makazi bwana gafaranga...na tarehe 28 december bwana garafaranga aliwasiliana tena na kargeya na kuwambia kuwa amtafutie chumba katika hoteli na safari hii asingependa kufikia nyumbani kwa kargeya asije akahatarisha usalama wake maana nae anafatiliwa na serikali ya rwanda kwa hiyo anapenda kufikia hotelini ambako atakuwa salama zaidi.

karegeya alikod chumba namba 905 katika hotel ya sandton hapo jo'burg na tarehe 29 bwana gafaranga akafika SA na ni karegeya aliyempokea kwenye uwanja wa oliver tambo na kuelekea moja kwa moja hotelin amabako karegeya alimuacha mgeni wake kwa makubaliano kuwa wakutane tarehe 31 ili kuendelea na mipango yao ya namna ya kuiangusha serikali ya kagame lakini pia namna anavyoweza kuanzisha makazi yake na biashar zake huko africa ya kusini maana serikali ya rwanda inamtishia maisha.

tarehe 31 karegeya akaenda moja kwa moja katika hotel hiyo kumuona mshirika wake na rafiki yake na alipofika na kuingia ndani karegeya alifunga mlango na kuweka alama inayoonyesha ''do not disturb'' pale mlangoni..

wakati karegeya anaiangia ndani ya chumba cha hotel ile mle ndan ya chumba palikuwa na jumla ya watu watatu maana yake kuna wawili waliongezeka na wote hawa wanatoka kwenye kikosi kazi cha ''escadron de la mort'' hawa wawili walikuwa wamejificha bafuni wakati karegeya akiingia...

walimnyonga na kumpiga risasi bwana karegeya na walipohakikisha amekufa wakaubeba mwili na kuuweka kitandani na kuufunika shuka kuanzia shingoni hadi miguuni...

baadaya mauaji hayo escadron de la mort waliondoka pasipo kujulikana na kutokomea nje ya south africa wakipitia mozambique

huo ndo ukawamwisho wa patrick karegeya...

'' kabla ya mtu kulikuwa na mtu na baada ya mtu kuna mtu''
 
Dah!!!! hii kitu ni exciting(dont get the wrong impression here)

Yani mbaka intelligence service yetu imepata habari yote hiyo nzima tz noma

Thank you bro
 
ukienda sokoni kununua kitunguu ...kuna ile layer ya juu ni kama imenyauka hivi...ukiiondoa hiyo utakutana na layer nyingine ambayo kidogo haijanyauka sana kama hiyo ya juu...nayo ukiiondoa utakutana na layer nyingine kadri unavyozindoa hizi layer ndivyo unavyokutana na layer safi huko ndani...sasa wengine tumeamua kuwa ni ile layer ya ndani kabisa...''the inner layer of an onion''
 
Your metaphor is heavy but i think i understand what your saying
 
ukienda sokoni kununua kitunguu ...kuna ile layer ya juu ni kama imenyauka hivi...ukiiondoa hiyo utakutana na layer nyingine ambayo kidogo haijanyauka sana kama hiyo ya juu...nayo ukiiondoa utakutana na layer nyingine kadri unavyozindoa hizi layer ndivyo unavyokutana na layer safi huko ndani...sasa wengine tumeamua kuwa ni ile layer ya ndani kabisa...''the inner layer of an onion''

Ebwana kuna mtu alikuwa anakuulizia, tena kwenye forum hii kwenye ule uzi unaomuongelea Jason Bourne. Jamaa wamemiss swaga zako.
 
Bila kumsahau General moshe dayan
 
Kagame ni intelligent on mauaji yalivo professional ha ha ni noma
 
dah mkuu de'levis ova ulikuwepo! Thanks kwa habari yenye details hivyo.
Ubnaweza tuwekea picha za marehem na suspected killer pia. Kunogesha zaidi!
 
nimapata kitu hapa...ni mgeni wenu kuanzia sasa...
 
anyway ngoja niwape dondoo kidogo juu ya nani alitekeleza mauaji ya huyu bwana:..

Apollo gafaranga ndiye aliyetekeleza mauaji ya patrick karegeya huko jo'burg..huyu apollo ni mmoja wa wafanya biashara wakubwa hapo rwanda akiwa na sophisticated thietre maeneo ya nyamirambo ambapo sasa ni maarufu kwa jina la cine star cinema ...ujenzi wa kituo hicho uligharim dola million moja na siku ya ufunguzi mwaka 2009 aliyefungua ni bwana paul kagame mwenyewe

nyuma ya paziwa bwana apollo gafaranga alikuwa trained spy na pia assassin wa hali ya juu sana na wakati huyu patrick karegeya akiwa masterspy miaka hiyo huyu gafaranga alikuwa ni mmoja wa ma infomer wake.

baada ya patrick karegeya kukimbia na kwenda kuishi uhamishoni nchini A.kusin, kule rwanda kuna kikundi kilichoundwa na bwana kagame kijulikanacho kama ''escadron de la mort'' huyu apollo gafaranga laikuwa ni mmoja wa wana kikundi hao ambapo lengo kubwa la kikundi hiki ni kutafuta wale wote walio kinyume na utawala wa rwanda na kuwamaliza.

baada ya kuingizwa katika kikundi hiki bwanda gafaranga alipewa mafunzo ya hali ya juu ya namna ya kutekelekza mauaji bila kujulikana na target yake kuwa ilikuwa ni huyu karegeya....

baada ya mafunzo kukamilika na biashara hiyo kuwa imefunguliwa kama ''cover story'' machoni pa macho ya watu wa kawaida. mwaka 2010 bwana gafaranga alianza urafiki na bwana karegeya huku akijifanya kuwa ni mmoja wa watu waliokuwa wakiupinga utawala wa kagame nchini rwanda. gafaranga alianza kumtembelea karegeya huko south africa na pia alishiriki kwa kikamilifu katika mikutano ya RNC ,chama ambacho mpaka leo kinapanga kuuangusha utawala wa kagame huko rwanda.

mara zote aliposafiri kwenda A.kusini kwa bwana karegeya huyu gafaranga alikuwa hatokei moja kwa moja nchini rwanda na pia mara zote amekuwa akitumia passport na document fake kwenda huko africa ya kusini. mwaka 2012 december ni huyu huyu bwana gafaranga alimshauri karegeya kuacha kutumia walinzi aliokuwa amepewa na serikali ya africa ya kusini chini ya wamvuli kuwa wanaweza kununulika na akauawa...na hivyo bwana karegeya alikubaliana na ushauri huo nakwenda katika mamlaka za SA na kutoa ombi lake hilo akisema sasa yuko makini na kila safari anayofanya ndani ya nchi hiyo na hivyo haitaji walinzi...mamlaka ya SA iliwaondoa walinzi.

mwezi wa wa nane mwaka jana bwana apollo gafaranga alimpigia simu karegeya na kumwambia kuwa serikali ya rwanda inamtishia uhai wake na tayati imefunga biashara zake hivyo anamuomba patrick karegeya amtengenezee mazingira ili nae akimbilie huko africka ya kusini na kuanza biashara huko...mda wote huo karegeya hakujua kuwa huyu bwana ana mission nyingine kabisa toka mwanzo wa urafiki wao

karegeya alianza maandalizi ya kumuandalia makazi bwana gafaranga...na tarehe 28 december bwana garafaranga aliwasiliana tena na kargeya na kuwambia kuwa amtafutie chumba katika hoteli na safari hii asingependa kufikia nyumbani kwa kargeya asije akahatarisha usalama wake maana nae anafatiliwa na serikali ya rwanda kwa hiyo anapenda kufikia hotelini ambako atakuwa salama zaidi.

karegeya alikod chumba namba 905 katika hotel ya sandton hapo jo'burg na tarehe 29 bwana gafaranga akafika SA na ni karegeya aliyempokea kwenye uwanja wa oliver tambo na kuelekea moja kwa moja hotelin amabako karegeya alimuacha mgeni wake kwa makubaliano kuwa wakutane tarehe 31 ili kuendelea na mipango yao ya namna ya kuiangusha serikali ya kagame lakini pia namna anavyoweza kuanzisha makazi yake na biashar zake huko africa ya kusini maana serikali ya rwanda inamtishia maisha.

tarehe 31 karegeya akaenda moja kwa moja katika hotel hiyo kumuona mshirika wake na rafiki yake na alipofika na kuingia ndani karegeya alifunga mlango na kuweka alama inayoonyesha ''do not disturb'' pale mlangoni..

wakati karegeya anaiangia ndani ya chumba cha hotel ile mle ndan ya chumba palikuwa na jumla ya watu watatu maana yake kuna wawili waliongezeka na wote hawa wanatoka kwenye kikosi kazi cha ''escadron de la mort'' hawa wawili walikuwa wamejificha bafuni wakati karegeya akiingia...

walimnyonga na kumpiga risasi bwana karegeya na walipohakikisha amekufa wakaubeba mwili na kuuweka kitandani na kuufunika shuka kuanzia shingoni hadi miguuni...

baadaya mauaji hayo escadron de la mort waliondoka pasipo kujulikana na kutokomea nje ya south africa wakipitia mozambique

huo ndo ukawamwisho wa patrick karegeya...

'' kabla ya mtu kulikuwa na mtu na baada ya mtu kuna mtu''

We jamaa uko nondo mbaya

Huyu Kagame ni mtu hatari sana aiseee,dah
 
Dah!!!! hii kitu ni exciting(dont get the wrong impression here)

Yani mbaka intelligence service yetu imepata habari yote hiyo nzima tz noma

Thank you bro

Tanzania ni kiboko kwa Intellegensia, yaani wameweza kufuatilia mauaji ya karegeya lakini wameshindwa kufuatilia mauaji ya Mwaipopo
 
Unajua maana ya chain of command?

Unajua jinsi security apparatuses zetu zinavyofanya kazi?

Unajua who makes the final decisions?
 
mkuu de'levis habari za masiku na heri ya mwaka mpya.sina shaka na maelezo yako.plz pass my greetings to brother Moshe Dayan
 
Last edited by a moderator:
Tanzania ni kiboko kwa Intellegensia, yaani wameweza kufuatilia mauaji ya karegeya lakini wameshindwa kufuatilia mauaji ya Mwaipopo

mkuu mauaji ya karageya mbona sio siri.taarifa jinsi alivyo uwawa zimetapakaa ktk mitandao.kujulikana kwa ushiriki wa apollo gafaranga sidhani kama ni juhudi ya TISS.labda de'levis anisahihishe.lakini pia baadhi yetu ni wavivu wa kuchimbua mambo mitandaoni na kusoma,tumezoea kutafuniwa.embu fata hii link : www.africareview.com/News/How-the-former-Rwandan-spymaster-was-assassinated/-/979180/2137304/-/3ekx9l/-/index.html
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom