Mjue msanii mwingine wa Marekani aliyeshirikishwa na Diamond Platnumz

room

Member
Joined
Dec 28, 2015
Posts
61
Reaction score
102
Safari ya msanii Belle 9 kuitembelea label ya WCB amejifunza vitu vingi na kupata nafasi ya kusikiliza baadhi ya kazi mpya za Diamond Platnumz ambazo bado hazijatoka hewani.

Sasa leo August 30, 2016 kupitia millardayo.com & Ayo TV staa huyo ameipata heshima kwa kueleza single mbili mpya za Diamond alizosikilizishwa ikiwemo ya staa kutokea Marekani, French Montana.

''Nilipofika tu ofisini kwake kuna vingi sana nimejifunza pia alinionesha bendi yake mpya ambayo ataanza kuzunguka nayo nchi mbalimbali. Pili alinisikilizisha nyimbo zake mbili mpya aliyofanya na Wizkid nyingine amefanya collabo na msanii kutoka Marekani French Montana ni kazi nzuri sana’'.
 
Belle nine mbeya...kwanini simba mwenyewe hajatangaza ?????anaanza yeeye
Wabongo bwana dah
 
Hiyo ngoma ya montana na mondi sijui watakuwa wote wameimba kiswahili,,maana mond kama anko baba jesca wao kakingereza kwao ni swala mtambuka...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…