Mjue Mtunzi halisi wa Buffalo Soldier ambao ulipewa umaarufu na Bob Marley

Mjue Mtunzi halisi wa Buffalo Soldier ambao ulipewa umaarufu na Bob Marley

Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
7,672
Reaction score
9,039
Wanangu hamjamboni? Leo tujikumbushe mambo ya kizamani kidogo hasa wapenzi wa reggae kama mimi baba yenu. Japo marehemu Bob Marley aliufanya wimbo wa buffalo soldier maarufu, mtunzi wake ni Giddes Chalamanda toka Malawi. SIkiliza hiyo kitu utajua na kuamini ninachowambia baba yenu.
 
Wanangu hamjamboni? Leo tujikumbushe mambo ya kizamani kidogo hasa wapenzi wa reggae kama mimi baba yenu. Japo marehemu Bob Marley aliufanya wimbo wa buffalo soldier maarufu, mtunzi wake ni Giddes Charamanda toka Malawi. SIkiliza hiyo kitu utajua na kuamini ninachowambia baba yenu.



Ni lini aliimba huo wimbo??
 
Mwaka 1978 wakati Marley aliutoa mwaka 1983.
Wapi hii habari imekuwa documented?

Nimesoma biography yake sijaona hili, wanasema alikuwa na ndoto ya kwenda Marekani, akatimiza ndoto yake.
 
Kuna ushahidi kama kumsikia? Documentation huanza na awareness. This is what we are now doing.
 
Back
Top Bottom