nyabirigold
New Member
- Feb 1, 2023
- 1
- 0
Alitunga stori na kuiweka Whatsapp, ambapo stori hiyo iliwagusa sana wasikilizaji walio isikiliza, baada ya siku 2, alijikuta anapitia mwanzo kama alivyo andika stori ile.
Siku saba baadaye alikuwa amepata nusu ya tukio aliloliandika katika hadithi yake ikawa katika maisha halisia.
Baada ya kuona kilichotokea kwake akaamua kusitisha muendelezo wa hadithi ile sasa akaanza kuelezea uhalisia ulio mkuta siku chache baada ya kuanza kurusha hadithi ile Whatsapp.
Chaajabu Nyabiri Gold alipoteza watu katika kikundi chake. Wengi waliamini ulikuwa uongo.
Mtunzi Nyabiri Gold (Elia Marko Nyabiri) akaamua kuandika tena kitabu kilicho itwa Maajabu Ya 2. kitabu hicho kilieleza mkasa mzima uliompata.
Nyabiri Gold katika kitabu hicho alisema "ikiwa mwanadamu unaweza kumdanganya kwa kujua kuwa unamdanganua huuweka ukweli zaidi katika uongo, na ikiwa utarudia kumwambia ukweli wa jambo hilo hilo, atakuona muongo"
Nyabiri Gold sasa ni kijana mtunzi bora wa hadithi (Author Story/Script) na ni muigizaji wa filamu za kitanzania.
#nyabirigold #eliamarkonyabiri