Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 2,284
- 3,626
Good luckkwa kiswahili chetu tafsiri ya jina Godbless ni Baraka nafikiri ...
Good luck
kwa kiswahili chetu tafsiri ya jina Godbless ni Baraka nafikiri ...
jamaa kumbe nae ni mchumia tumbo bhana
Mvalishe nguo zake za chama cha Mazezeta (CCM)Ni kijana wa Mtuhuru Aikaeli Mbowe aliye swahiba wa mzee wa msoga aliyeingiza mfumo wa shadow president ili atawale tena Tanzania ya Nyerere.
Huyu Munguakubariki Jonathan Lema alikosa pa kushika baada ya Mtuhuru Aikaeli Mbowe kuukosa uenyekiti wa chama alichokuwa anakiongoza kwa maelekezo ya mzee wa msoga aliye swahiba wake wa kufa na kuzikana.
Huyu ndio Munguakubariki Jonathan Lema
Good luck