Mjue mzee Jumne Muhammad Tambaza

Hili chapisho nalipata wapi?

Ni zaidi ya lulu
 
Si utani, Nimekubali !!!
Nimekuwa na kucheza nao vitukuu wa Mzee Tambaza, miaka hiyo Upanga
Kina Jumbe TambazaJr, Ali Tambaza , Amy Tambaza, Msakala Tambaza, wakati huo tunasoma nao Madras Tambaza, United Nation Road
 
Udini umekukaa kichwani boss
Ukiangalia andiko hili huwezilitenganisha na dini...tena dini moja ndio ilikuwa msingi mkuu wa wewe kuitwa mtanganyika au mtanzania,usiumie sana mkuu huo ndio uhalisia wenyewe.
 
Down Memory Lane 1981: Father of the nation, Mwalimu Julius Nyerere speaks to top government leaders on the first phase of his leadership at the State House in Dar es Salaam. Second right is Aboud Jumbe, Cleopa Msuya, Joseph Nyerere and Edward Sokoine. (#DailyNewsArchives) https://t.co/QeBJleaW0p

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…