Mjue Nero kaisari katili zaidi katika historia ya Roma

Mjue Nero kaisari katili zaidi katika historia ya Roma

marco polo jr

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2020
Posts
362
Reaction score
1,771
Kaisari Nero anajulikana kwa ukatili mkubwa aliowafanyia watu alikuwa akiogopwa Sana na watu wake Kaisari Nero Kwanza alimuua mama yake afu akamuua mke wake .mwaka 64 A.D. alisabisha Moto uliounguza nusu ya mji wa Rome alafu akawashutumu wakirsto kushabisha Moto huo aliwaua wengi Sana hasa wayahudi walikuwa wakivalishwa ngozi za wanyama Kisha kafungwa kamba mikono na miguu Kisha kutupwa katika viwanja vya michezo waliwe na mbwa katika kipindi chake kikosi Fulani hispania kiliasi lakini majemedari wengine wakazima uasi .wale wanajeshi walikamatwa na kuchinjwa vibaya Sana wakati huo mtume Paulo alikuwa huko hispania akihubiri injili na yeye alikamatwa Kisha akahukumiwa kuuawa pamoja na mtume Petro yeye alisulubiwa kichwa chini miguu juu .huyo ndie kaisari Nero aliyekuwa katili zaidi katika utawala was Roma
 
Watanzania tulipe kodi kwa maendeleo ya nchi yetu
 
Back
Top Bottom