Mjue samaki ambaye hawezi kufa kwa uzee

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Samaki kwa jina Jellyfish Turritopsis dohrnii hana ubongo na moyo na anadhaniwa kuwa kiumbe pekee asiyeweza kufa duniani; ainaishi katika maji ya kitropiki.

Kama wanasayansi walivyothibitisha, jellyfish hawafi kwa uzee kwani huishi hadi umri fulani kisha wanaanza kuwa wadogo na kurudi kwenye hatua yao ya asili.

Na kutoka hatua hiyo ya kuwa mchanga, anaanza tena kukua. Kwa bahati nzuri, hakuna kikomo kwa idadi ya nyakati ambazo wanaweza kufanya hivyo! Kwa hivyo, kiumbe huki kinaweza kuishi idadi isiyo na kipimo .
 
Nilisikia wanaua binadamu
 
Madokta wetu wamchukue, watengeneze dawa ya kuzuia kufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…