Matanga
JF-Expert Member
- Nov 13, 2019
- 2,281
- 3,976
Basi Bhana Wakat Naperuzi Zangu Mitandaon Nikakutana Na Mtaalam Wa Kupiga Mitungi Huko Marekan, Daah Nikasema Huyu Ni Nani Ambay Anaweza Kuwa Mpigaji Mzur Wa Mipira ILiyokufa Kiasi Hiki Mpaka Watangazaj Kufikia Kusema Ni Best free Kick Taker Kwa Ligi Yao, Japokuwa Pale Kwenye Comment Kuna Watu Walidiss diss Wakisema Kwamba Ni Ligi Ya Marekan Makipa Ovyo ILa Nikakumbuka Wanadamu Tuna Nature Ya Wivu Wivu Basi Nikaachana Nao Nikaendelea Kutazama ILe Daah Hapo Ndo Nikakutana Na Kijana Mmoja Ambay Sitaweza Msahau Maana Alichofanya Usiku ULe Yale Mambo Huwa Wanaweza Kufanya Watu Wachache Sana Waliojaaliwa Vipaji Vya Soka Hasa Ktka Game Kubwa ViLe ILa Yey Aliweza Kufanya Watu Wazima Waonekane Watoto Siku ILe Ktka Dimba LiLe La Dele Alpi Jijin Turin, Hapa Bhana Ndo Linakuja Jina Ambalo Wengi Hawalifaham La *Sebastian Giovinco*
Huyu Bwana Alizaliwa Katka Jiji La Turin Hukooo Italy Akiwa Mzalendo Halisi Kutoka Nchi Hii ILiyotawaliwa Na Benito MusoLin, Eeh Huyu Mzee Dikteta Basi Giovinco Ni Moja Ya Vijana Wanaotokea Ktka Ardhi yake Kijana Mwenye Talanta Ya Upigaji Chenga Na UshambuLiaj Wa Umakin BiLa Kusahau Kipaji Cha Upigaj Mipira ILiyokufa
Sasa Bhana Kinachofanya Niandike Hapa Ni ILe Game Ambayo Mim Binafsi NiLimwona Kwa Mara Ya Kwanza Kijsna Huyu, Siku Hiyo Bhana ILikuwa Usiku Wa Wanaume Kwa Maana Ya Champions League, Mtanange ULikuwa Kati Ya Juventus Turin Bibi Kizee Na Matajiri Wa Jiji La London Hapa Nawazungumzia Chelsea Chini Ya Avram Grant Baada Ya Tajiri Wa Kirusi Kumtimua Mzee Wa Vifua Wazi.
Sasa Baada Ya Game Ya Kwanza Ambayo Chelsea ILishinda 1-0 Marudiano Yakawa KuLe Nyumban Kwa Bibi Mzee Estadio Olyimpico Turin Maarufu Wakat Huo Kama Dele Alpi Bhana Basi Juventus Ikiwa Imejaa Wanaume Wa Shoka Kwel Kwel Nyuma Wana Buffon, Grygera na Chielin Akiwa Mtoto Mtoto, Hapo Kati Sasa Ndo Usipime Chin Kabisaa Yupo Thiago Mendez, Claudio Marchisio Akiwa Bwana Mdogo Na Mkongwe Pavel Nedved, Safu Ya UshambuLiaj ikiwa Na Wakongwe Walioshindwa World Cup, Del Piero, Vicenzo Iaquinta Na David Trezeguet.
Matajiri Wa Jiji London Bhana Wao Walikuja Na Diamond Lakin Diamond Hii ILikuwa Ya Hataree Sana Maana Jini Essien Ndo LiLikuwa Limerud Kutoka Majeruh Na Kuingia Kikosin Moja Kwa Moja, Sasa JiuLize Essien, Mikel John Obi, Frank Lampard Na Michel Ballack Walikuwa Wanachezaje Hapo Kati, Ni Swali La Siku Nyingine, ILa Hawa Watu Bhana Walikuwa Wanalindwa Na Ukuta Wa Chuma Bhana ULiokuwa Na Mwendesha Mapiki Piki GoLin, KuLia Jose Bosingwa, Kushoto Beki Bora Wa Kushoto Wa Kiingereza Kati Akiwepo JT beki Mwingine Bora Wa Kiingereza na MbraziL Alex Mzee Wa Mashuti Huyu Habar Yake KuuLize Pepe Reyna.
Basi Bhana Wakat Chelsea Wakifungiwa MagoLi 2 Na Didier Drogba Na Michael Essien Akifunga Moja Ya goLi Bora Kabisa Ktka Michuano Hiyo Baada Ya Vicenzo Iaquinta KuwatanguLiza Juve Mapeema Sana Basi Bhana Wakat Kipindi Cha KiLi Kikiendelea Ndipo Juve Wakafanya Sub Na Hapo Ndo Akaingia Bwana Sebastian Giovinco.
Kitu Ambacho Ninaamin Watu Wengi Siku ILe TuLiamin Juve Wana Messi Wao Na Jamaa Is A Star In Making. Giovinco Aliingia Akimpokea Iaquinta Akawa Anatokea Upande Wa Kushoto, Jsmaa Aliwachachafya na Alikuwa Mtu Aliyeleta Utofaut Mkubwa Sana Katka Mechi ILe. Giovinco Kwa Aliyokuwa Anafanya Alikwenda Akasababisha Penalty Ambayo Upigaji wake Kwa KiLe Alichofanya Del Piero ILikuwa Kama Udhalilishaj Kwa Petr Cech Kwa Maana Alikuwa Na Uwezo Wa Kuurudia Mpira ULe ULivyokuwa Unaends Tsratib Na Akaudaka Lakin Unaanzaje Kufanya Hayo Wakat Ushapelekwa Maboya Basi Game ILe Ikaenda Kuisha 2-2 Huku Chelsea Wakisonga Mbele Kwa Aggregate Ya 3-2 NA oLd Lady Wakibakia Kupambania Ubingwa Wa Ligi
Sebastian Giovinco Aliyolewa Kwa Mkopo Sana iLi Apate Muda Wa Kucheza Zaid ILa Alishindea Kusettle Ktka Timu Husika Mpaka Aliporud Juve Akaisaidia Kubeba Ligi na Super Copa De Italia Akiwa Chini Ya Conte Baada Ys Hapo Akakosa Namba Ya Uhakia Mpaka Alipoakua Kwenda States
Sasa Ivi Giovinco Anakipiga Al Hilal Huko Saudia Huku Nyota Ambayo Wengi TuLitegemea Kuiona Itanag'aa Aikipotea Na Upepo Wa KisuLi SuLi
Namalizia Haya Nikielekea Zangu KuLala Ni Mim Shabiki Nambar Moja Wa Real Madrid
Sent using Jamii Forums mobile app