Mim si ndio nilikua mentor wako, wanasema mdogo ake Bonny yule Kaka ake anabamiza hatar kama mdogo wakeWavulana nilikuwa napiga, wewe sikuwahi kukupiga kweli?
Wew ulikuwa unabamiza? Wakati mimi nilikuwa nakuja kukusaidia kuwabamiza wanaokuoneaMim si ndio nilikua mentor wako, wanasema mdogo ake Bonny yule Kaka ake anabamiza hatar kama mdogo wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Wew ulikuwa unabamiza? Wakati mimi nilikuwa nakuja kukusaidia kuwabamiza wanaokuonea
Bangi mbona nilishaacha mdogo wanguBangi ulizoanza nazo siku hz zinakupelka puta
Mie azimio enzi za mwalimu makundi alipoondoka ndo akaja rukia mndolwa
Fresh tu[emoji23][emoji23][emoji23] Kwema kijana wa Mutembei? Vipi ulisoma O level au A level tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh yes nawakumbukaMr. Segereti, Kaijage na Peter unawakumbuka hao walimu? [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app