Wachaa. π
MassaweJitegemee enzi za mkisi au??
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nakumbuka na kipondo walichopata washenzi wale. Walitulaza nje usiku mzima.[emoji23][emoji23][emoji23] St. Mateso. Vipi unakumbuka fujo za form 6 mwaka 2010 pale matthew's?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe Pia ulisoma Wapi!??Wachaa. [emoji28]
Wenzetu nasikia mnajiitaga Watoto wa Jiteute.
Mtani ndio unaniuliza eti ama?
Bro kwa hali hii waeza jikuta unachat na mtu mnayefahamiana vizuri kabisa.Nakumbuka na kipondo walichopata washenzi wale. Walitulaza nje usiku mzima.
We ulikua form ngap kipindi icho?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio nimekuuliza hivyo mtani!??[emoji16]Mtani ndio unaniuliza eti ama?
Mtani mtani.
Aaah usintanie bhana. Na we umebukua pale?Bro kwa hali hii waeza jikuta unachat na mtu mnayefahamiana vizuri kabisa.
Hahahaaa. Hapana Kaka sijasoma huko.
Hmm.. Ya kweli haya? Mbona unanikwepa!!Hahahaaa. Hapana Kaka sijasoma huko.
Nimejaribu tu kuangalia jinsi mazungumzo yanavyokwenda kwa baadhi ya members.[emoji28]
Hahaha usikimbie ....Mtani mtani.
[emoji2088][emoji2088][emoji2088]