Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Sisi kutokea ni vigumu,mazingira yako vizuri.Kuna kitu cha kujifunza hapa kwa wale walevi wetu wa madaraka.
Duh,Kibet now says he is homeless, jobless, and battling illness, a far cry from the privilege he was born into.🙌
Labda kupitia mmoja wa watoto wa nje,Gideon ni mmoja wa matajiri wakubwa sana Kenya na kumbuka alikuwa kipenzi cha Baba yake Mzee Daniel MoiKibet ni mjukuu wa Moi kwa kupitia mtoto gani?
Gideon yuko wapi?
Naam.Labda kupitia mmoja wa watoto wa nje,Gideon ni mmoja wa matajiri wakubwa sana Kenya na kumbuka alikuwa kipenzi cha Baba yake Mzee Daniel Moi
Mama sasa anaendeleaje???Naam.
Watu wengi hawaelewi kuwa katika familia kuna matawi fulani yanaweza kutengwa kutokana na migogoro ya ndani ya kifamilia ambayo watu wa nje hawaijui.
Mimi kuna dada mmoja tulisoma naye alikuwa anakuja kuniomba pesa, wakati kaka yake ni mtu mashuhuri sana anatumia pesa ndefu, tena US dollar si shilingi.
Sasa mwanzo nilikuwa sielewi kwa nini huyu dada ananiomba mimi pesa, tena pesa ndogo tu Tsh 50,000 mpaka 100,000? Wakati kaka yake anatapanya mamilioni kirahisi tu kila weekend? Nikafikiri ana tabia tu ya kuombaomba.
Nikaja kugundua kuwa kuna ugomvi mkubwa sana katika ile familia na ingawa huyu kaka alikuwa na pesa nyingi kila ukimuangalia mara anatalii Brazil, mara kanunua Lexus jipya, mara kamleta Yemi Alade kutumbuiza, kumbe wale watoto wa familia moja hawaongei kabisa. Mmoja ana pesa nyingi sana anatanua kila siku, na mwingine hata kupata laki ilikuwa tabu alikuwa anatupiga mizinga.
Nikawa namsaidia saidia mara 50, mara laki alikuwa ananililia kila watoto wakianza shule anakuja kulia nimuongezee kwani mume wake alifariki na nyumbani kwao kaka zake, hususan huyu aliyekuwa na pesa, walimtenga. Nikawa naingiwa na imani kwa sababu namjua tumekua wote, na historia yake naijua tangu mumewe afariki, na mumewe alikuwa rafiki yangu naye tumesoma wote actually.
Nilihuzunika sana kuona kwenye familia moja kuna watu wana pesa nyingi sana wanazichezea, halafu kuna wengine wana uhitaji sana wa pesa. Watoto baba mmoja mama mmoja.
Sasa ukianza kufika kwa wajukuu wa Moi huku, hatuwezi kujua familia ina ma beef gani.
Sasa hivi naona mambo yake yamesimama vizuri.Huyu
Mama sasa anaendeleaje???
Ukisikia Bwana Huwabatiliza Wana wa Uovu hadi kizazi cha Nne ndio hii sasa.Collins Kibet Moi, grandson of the late President Daniel Arap Moi, broke down emotionally in a Nakuru court after being sentenced to two weeks in jail for failing to pay child support.
The case was filed by his ex-wife, who claimed Kibet had neglected his duty to provide for their child.
In a dramatic scene, Kibet stood before the magistrate and pleaded for mercy.
"I'm sick. I have tried. I have suffered since my father died. I don't live anywhere. I have asked for mercy. No one has mercy these days for an orphan," he sobbed.
"I have even asked the President of this country to help me, but no one can help me."
Once part of Kenya's most powerful family, Kibet now says he is homeless, jobless, and battling illness, a far cry from the privilege he was born into.🙌
View attachment 3406812
Kweli kabisaWatu wengi hawaelewi kuwa katika familia kuna matawi fulani yanaweza kutengwa kutokana na migogoro ya ndani ya kifamilia ambayo watu wa nje hawaijui.
Kalia na Kidau?Kuna kitu cha kujifunza hapa kwa wale walevi wetu wa madaraka.
Unanikumbusha mwanasiasa Mmoja Mbunge na aliwahi kuwa Waziri kipindi cha Jakaya kabla hajatemwa,Jamaa anapesa lakini hawajali kabisa ndugu zake,Ila upande wamke wake anawapa shavu balaa.Naam.