Mjumbe Bunge la Katiba avuliwa uanachama Alliance for Tanzania Farmers Party (AFP) Zanzibar

Dk Makaidi, mkewe waondolewe bungeni
Dk Makaidi, mkewe waondolewe bungeni
 
nionavyo mm naona wafunge hilo bunge kumbe mchakato wa kugushi na kula njamarushwa ulikuwepo
kwenye uorodheshaji jamani sasa hapa tutapata katiba rushwa na sio katiba tulioitegemea heee
kwa staili hii kweli tutapata katiba tunayo itarajia wanajamvi?
 
Mwenyekiti wa Chama cha National League for Democracy (NLD), Dk Emannuel Makaidi akichangia jambo kwenye
 
ahaha kweli kazi ipo mkuu,tunasafari ndefu sana ya kuijenga demokrasia
 
hahahaaa,RIZIKI MAFUNGU 7?....BUNGE HILI LIMEMTOA UDENDA???!!....na tuisubiri hiyo katiba
 

Mchakato wa katiba mpya tu kwa Wapinzani ni Riziki ya mafungu saba linalowatoa udenda viongozi wake KIASI CHA KUANZA KUTOANA ROHO,Tukiwapa nchi si itakuwa zidi ya Sudan kusini?
 

Mengine.....1.) Tanzania ni Taifa la ajabu sana eti Mtu anamkabidhi Chama Mkwewe ili kisichukuliwe na mtu kutoka upande mwingine.
2. Kiongozi mkuu wa Upinzani anamlazimisha Mbunge wa Chama chake kukatisha Ziara na kwenda maeneo ya Faragha Uarabuni kufanya ufuska kwa kodi za mama muuza Vitumbua na Mikate ya Kumimina.
3. Tanzania ni Taifa pekee la ajabu Mgombea Urais anampora Mpiga kura Mkewe ili amtumie kama First lady.
4...Tanzania ni Taifa pekee Duniani wapinzani wanatoa kauli za kupinga nyongeza ya posho lakini zikiongezeka wanazipoke 'kINYONGE NA SHINGO UPANDE' huku wakiskitika.
5. Tanzania ni Taifa pekee Duniani Katibu wa Chama kikuu cha Upinzani anajisifu kwenye Mitandao ya kijamii kuwa amelelewa na kukulia kwenye Maadili lakini anapambana Mahakamani kupewa idhini ya Kumuoa mke wa Muumini na Mtanzania mwenzake huku akilalamikiwa kutelekeza familia yake ya Mke na watoto wawili.
 

buku 7 leo
 
Watanzania wanataka Katiba mpya, yeye anafikiria mambo ya riziki!
Ha ha haaaaa....kweli bongo nuksi kama alivyoimba dj yusuph...riziki mafungu saba..hapa hakuna katiba mpya aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…