Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnajenga au mnabomoa? Kuusema ukweli angalao mara moja moja sii dhambi.Wakuu,
Mjumbe wa Kamati kuu ya Taifa CCM, Charles Mwakipesile amesema kauli ya Chadema ya "No reform no Election" ni kauli ya kisiasa na kauli hiyo hawawezi kuipa nguvu kwani wao ni Chama kinachofata Katiba.