mfukunyuku
Member
- Apr 29, 2013
- 12
- 4
Hallow jamii forums members,mimi ni mjumbe mpya wa jamii forum ambaye nimejiunga rasmi na jukwaa hili jana,kiukweli ni kwa muda mrefu nimekuwa nikiperuzi katika jukwaa hili,na kupitia threads mbalimbali na comments zinazochangiwa na members,bila kuwa na uwezo wa kuchangia chochote,coz nilikuwa bado sijasajiriwa,napenda niseme ukweli kuwa nimevutiwa mno na jukwaa hili,na ingawa aina yangu ya kazi inanibana mno,ya kwamba nashindwa kuspend enough time kwenye mitandao,but with jamii forums,i said nop,ni lazima nami niombe usajiri,ili nami nipate fursa ya kuenjoy kama members wengine,big up to the founder of jamii forums,big up to mods,big up to members of jamii forum for keeping it alive n active since 2006 to date.wenyeji wangu,wakongwe wa jamii forums,naomba mikaribishe kwa mikono yote na moyo mweup(lara1,smile,the boss,mwanamalundi,Natalia na wengineo,appreciates you sana).LONG LIVE JAMII FORUMS>