Mjumbe Mpya

Mjumbe Mpya

Duh!naona mgeni umeamua kujiweka wazi kabisaa!duh humu ndani wenzio tunatumia ID fake na hakuna mtu tunataka atujue kwasababu huwa tunapishana mawazo na maoni na watu tofauti tofauti ambao wengine wanachukia kiasi cha kutoleana matusi,sasa mtu kama huyo akikujua na unasoma nae hapo chuo si itakuwa msala mkuu??!

Hata hivyo ni maamuzi yako!,karibu JF
 
Back
Top Bottom