Mjumbe wa kamati kuu ya CCM na wakili wa kujitegemea Jonas Nkya afunguliwa RB TAN/RB5114/2017 kwa kosa la Wizi wa kuaminika wa gari aina ya Lexus Harrier lenye namba ya usajili T404 BBP linalomilikiwa na dada yake aishiye Tanga. Kwa taarifa yeyote tunaomba itolewe kituo cha polisi.