Tetesi: Mjumbe wa kamati kuu CCM achukuliwa RB kwa Utapeli

Pom Pom

New Member
Joined
May 21, 2013
Posts
4
Reaction score
0
Mjumbe wa kamati kuu ya CCM na wakili wa kujitegemea Jonas Nkya afunguliwa RB TAN/RB5114/2017 kwa kosa la Wizi wa kuaminika wa gari aina ya Lexus Harrier lenye namba ya usajili T404 BBP linalomilikiwa na dada yake aishiye Tanga. Kwa taarifa yeyote tunaomba itolewe kituo cha polisi.
 

Attachments

  • upload_2017-9-14_16-57-31.jpeg
    110.5 KB · Views: 58
Huyu mbona anajulikana kwa mishe mishe zake za utapeli na wizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…