johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
but sio mjumbe wenu??Wapi Chadema imetoa tamko kiwa Nyalandu ndio awakilishe Chama kwenye msiba?
Acheni kuandika mawazo yenu.
Huyo ameenda yeye kama yeye.
Jinga Kama jingaCDM mnashangilia kwa maovu mliyofanya - FBI waje hata elfu lkn mwisho wa siku lzm muombe pooo
Yupi, Superbug?Jinga Kama jinga
Na kazi ambayo Mungu alimtuma malaika wake aifanye ili kuondoa uonevu na uvunjifu wa katiba imekamilika.Kazi aliyotumwa kufanya Chadema ameikamilisha ......
Kuwa mjumbe haimaanishi unawasilisha chama kama hujatumwa na chama.but sio mjumbe wenu??
Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Lazaro Nyalandu yuko wilayani Chato mkoani Geita akishiriki mazishi ya kitaifa ya hayati Magufuli.
Nyalandu ameonekana muda mwingi akiwa na mbunge wa Ilemela Dr Mabula na mbunge wa Shinyanga mjini Patrobas Katambi wote wawili ni manaibu waziri.
RIP Magufuli!
Tatizo nauli!Vipi, yeye hakuporwa ushindi wa ubunge huko kwao kwenye uchafuzi wa 2020?
Nilitaka pia kuuliza kama Rev. Msigwa naye kaonekana huko; lakini najua anajiheshimu sana Revelend.
Sugu pia kaonekana viunga vya Chato!View attachment 1734557
Mazishi ya dikteta Jiseph Staoin yalihudhuriwa na umati mkubwa wa watu mwaka 1953 March 9