Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
Waende tu CDM tunawasubiri Jimbo la Muhambwe tuwashughulikie - CCM haitoangukaLakini mbona hata JJ Mnyika ( katibu mkuu), Tumaini Makane ( Msemaji Mkuu wa Chama) , P Msigwa ( Mjumbe wa Baraza Kuu) na wajumbe wengine mbona wameenda kuaga mwili wa JPM.!! Sasa hizo chokochoko zako ni kama vile kwa chama cha chadema yeye ndio kiongozi wa kwanza kwenda msibani vile.
Bahati yako tunazika, la sivyo wewe lofa ningekupa jibu ambalo ungeomba pooJinga Kama jinga
Hujitambui akili zako sawa na za ng'ombe tuView attachment 1734557
Mazishi ya dikteta Jiseph Staoin yalihudhuriwa na umati mkubwa wa watu mwaka 1953 March 9
CDM si imekufa mbona bado mnaiwaza tena?Waende tu CDM tunawasubiri Jimbo la Muhambwe tuwashughulikie - CCM haitoanguka
Lissu awasaidie kufungua chama Ubelgiji ili mtafute urais huko si Tanzania
Werevu hawana matusiHujitambui akili zako sawa na za ng'ombe tu
Amina!Well noted
Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Lazaro Nyalandu yuko wilayani Chato mkoani Geita akishiriki mazishi ya kitaifa ya Hayati Dkt. John Magufuli.
Nyalandu ameonekana muda mwingi akiwa na mbunge wa Ilemela Dkt. Mabula na mbunge wa Shinyanga mjini Patrobas Katambi wote wawili ni manaibu waziri.
RIP Magufuli