DOKEZO Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA, Patrick Ole Sosopi: CCM Wanalazimisha kuongoza

DOKEZO Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA, Patrick Ole Sosopi: CCM Wanalazimisha kuongoza

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mkoani Iringa kimewataka Wananchi kuchagua viongozi wa serikali za Mitaa wenye uwezo watakaofanya shughuli za kijamii bila itikadi cha siasa.

Hayo yamezungumzwa na mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa, Patrick Ole Sosopi katika Muendelezo wa kampeni za kuwanadi wagombea wa Chama hicho kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa 27 Novemba 2024.

“Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni muhimu sana kwa wananchi kushiriki kwa kuwa Wenyeviti ndio ndio ngazi inayoweza kumfikia mtu wa chini” amesema Sosopi

Sosopi ameongeza kuwa kuwa wananchi wapaswa kuwachagua viongozi ambao wanajua shida zao huku akiiomba Takukuru na jeshi la Polisi kuwachukulia hatua waliohusika kutoa rushwa katika uchaguzi huu.
 
Back
Top Bottom