Mjumbe wa kamati tendaji Yanga awatakia kila la Kheri Al Ahly

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Akihojiwa na EATV mjumbe wa kamati tendaji Yanga bwana Alex Ngai amesema Yanga wanatamani siku moja na wao wapate fursa ya kushiriki African football league, lakini amewatakia kila la Kheri Al Ahly katika michezo yake dhidi ya Simba.
 
Ushindi kwa Simba utakuja na Gharama zake ambazo ni mateso kwa sisi mashabiki wa Yanga. Lakini heshima kwa taifa ni jambo muhimu kuliko kipigo kwa Simba.

Nawatakia Makolo kila la kheri.
 
Sioni kama kuna tatizo eti. Hayo ni maoni yake. Na ana uhuru wa kuchagua timu aipendayo. Na wala msimlazimishe afanye yale mpendayo nyinyi.

Mbona kuna watu humu jukwaani walifikia mpaka hatua ya kujiita USM ALGER, Marumo Gallants, kuna Mapopoma yalisema waziwazi yanazitakia ushindi timu zilizocheza dhidi ya Yanga mashindano ya Kimataifa msimu uliopita!! Lakini tuliwaacha wafanye vile wapendavyo?

By the way, simba haina uwezo wa kumtoa Al Ahly katika mashindano yoyote yale.
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…