Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Shida sinuwaziri mkuu, swali wame faidikaje na uwaziri mkuu wa mbunge wao?Mjumbe wa kamati kuu ya CCM wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi ndugu Mparuka akiongea na wajumbe wa wilayani hapo katika mkutano wa baraza la Chama cha Mapinduzi.
Waziri Mkuu anarudi kugombea Ubunge?Mjumbe wa kamati kuu ya CCM wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi ndugu Mparuka akiongea na wajumbe wa wilayani hapo katika mkutano wa baraza la Chama cha Mapinduzi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Baadae kwa wabunge wote😀😀Haya MAIGIZO
- yameanzia Kwa samia
-yamefuatia Kwa mchengerwa
-saivi ni Kwa majaliwa
Tusubiri kuskia pia
-mbeya Kule kwa Tulia
-singida kwa mwigulu
-mawazili wote
Watia Nia wapya WA ubunge jiandaeni kisaikolojia maana naskia pia NDUGAI nae kaamua kurudi Tena ulingoni