Mjumbe wa Kanda ya Pwani, RT Atolewa, Adumu siku 15 tu.

Melubo Letema

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
416
Reaction score
414
Mjumbe wa kamati ya Kanda ya Pwani,ya Shirikisho la Riadha Tanzania (AT) Bw. Robert Kalyahe Amefyekelewa Mbali na Kamati ya Uchaguzi, baada ya kukiuka kanuni za katiba ya RT inayokataza mgombea mwenye historia ya kufungwa Jela zaidi ya Miezi Sita.

Adumu kwa siku 15 tu.
 
Simi kwa siku 15 tu.
Kuna sehemu tunafeli ilikuwaje walishindwa kuliona hili mapema waje kuliona leo mtu kashachaguliwa? Nimekumbuka uchaguzi wa chama cha soka zanzibar miaka flani sifa ilikuwa mgombea wa uenyekiti lazima afike form4 lakini aliyeshinda hata lasaba hakumaliza
 
Wajumbe walioko nje walianzisha figisu, kuhusu kufungwa kwake, ndipo kamati ikapitia tena mafaili.

Na kuna wengine faili zao zinatizamwa upya.
 
Back
Top Bottom