GE2025 Mjumbe wa Kigoma Mjini alia na matokeo ya ubunge

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Walioko madarakani hawana msaada na sisi ndio maana tulitamani kubadilisha mfumo aingie baba levo,Kwenye kura Baba levo amaeshinda ila kilichofanyika ni wizi"

Mmoja kati ya Wajumbe waliopiga kura za maoni jana amezungumza na vyombo vya habari na kuelezea jinsi gani anajiskia baada ya Baba levo kushika nafasi ya pili kwenye kura za maoni.

Your browser is not able to display this video.
 
Safari hii tumewaacha mcheze wenyewe uwanjani endeleeni kuuwana......kama wenyewe Kwa wenyewe mnaishi Kwa style hiyo itakuaje Kwa wapinzani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…