Pre GE2025 Mjumbe wa mkutano mkuu CHADEMA alia kunyang'anywa uhalali wa kupiga kura kwenye Uchaguzi. Amtaja Wenje na Kigaila

Pre GE2025 Mjumbe wa mkutano mkuu CHADEMA alia kunyang'anywa uhalali wa kupiga kura kwenye Uchaguzi. Amtaja Wenje na Kigaila

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Sarakasi za Uchaguzi wa CHADEMA zinaendelea kuwa moto.

Akiwa anaongea siku ya leo, moja ya mjumbe wa mkutano mkuu CHADEMA aliyrjitambulisha kama Wilfred Alfred Mgina amesema kuwa amenyang'anywa uhalali wa kupiga kura kwenye Uchaguzi na nafasi yake kupewa mtu mwingine.

Wilfred amesema kuwa pamoja na kupokea message kumuhakikishia kuwa atahudhuria mkutano huo kama mpiga kura lakini mara alipofika Mlimani City aligundua kuwa hakuwa na haki ya kupiga kura na kwamba nafasi yake ya ujumbe alipewa Mjumbe mwingine aliyeitwa Blessing Barabara

Mgina amesema kuwa ili kupata haki yake alienda kwa Ezekiel Wenje ili akasaidiwe kupiga kura, Wenje alimpeleka kwa Kigaila ambaye alisema kuwa jambo hilo liko nja uwezo wake

 
Ni ujinga hadi siku ya uchaguzi hujui wewe una uhalali au la wa kuwa mjumbe wa mkutano wa uchaguzi
 
Kina Yericko na Ntobi waliwaambia mapema wengi wanaotoa matamko kumuunga mkono Lissu si wapiga kura hawatambuliki.
 
Back
Top Bottom